Mjue Aliemfundisha Eddy Kenzo Kuongea Kiingereza

 Kiingereza kimekuwa ni tatizo kwa Nchi za Afrika hasa ukanda wa mashariki kutokana na wengi kuuenzi utamaduni wa kiafrika na kutumia lugha za asili na taifa.

Mtangazaji Sheila Gashumba wa NTV ya nchini Uganda ametema cheche kuwa yeye ndie alimfundisha Eddy Kenzo kuongea Kiingereza miaka kadhaa iliyopita kabla ya kujiendeleza mwenyewe. 
Kwa mujibu wa post yake ya Facebook Sheila amesema walikutana na  kwenye siku ya kuzaliwa ya mrembo huyo na kuanzia hapo mshindi huyo wa tuzo ya BET alianzisha mawasiliano na kuomba afundishwe kutema yai na kuandikiwas mistari kwa kimombo .
 
 


Post a Comment
Powered by Blogger.