Manfongo Ndani Ya Beef Zito Na Mama Wema Sepetu

Baada ya kuufanya muziki wa singeli upate thamani kubwa na kujizolea mashabiki wengi hadi mikoani ambako muziki huo ulikua haujapata nafasi ya kusikika, Mkali wa ngoma Hainaga Ushemeji Man Fongo ametajwa kuingia kwenye beef isiyo ya polepole na Mama wa Malkia Wema Sepetu,
 Habari za kunyapianyapia zilimfikia mhariri wa Gazeti la Makorokocho Bwana Soudy Brown ambae moja kwa moja aliamua kuwatafuta wahusika wote wawili na hii hapa chini ni video ya Man Fongo na Mama Wema wakichezesha taya na Makorokocho TV.

 BONYEZA PLAY KUSIKIA WALICHOKISEMA:
ULISIKIA ALICHOKIJIBU MALAIKA KUHUSU KUMUONGELEA BABA YAKE? 

Post a Comment
Powered by Blogger.