Kama Wewe Ni Shabiki Wa Kala Chukua Mchongo Huu

Mkali wa ngoma ya wanandoto Kala Jeremiah ameongelea mradi mpya anaotarajia kuanza hivi karibuni utakaowahusisha mashabiki zake sita ambao atawachagua kupitia mtandao wa instagram.

MSIKILIZE MWENYEWE HAPA CHINI KWENYE VIDEO HII.

 

ULIIONA HII YA WIZKID NA KOLABO NA MTANZANIA? 

 

Post a Comment
Powered by Blogger.