Jike Shupa Umekuwa Neema Kwangu - Nuh Mziwanda
Kauli ya Nuh Mziwanda , wimbo wake Jike Shupa aliomshirikisha Alikiba, umekuwa na mafanikio makubwa kuliko zote alizowahi kufanya kwenye tasnia hii ya muziki na  huku video yake hiyo ya Jike shupa ikiwa imetazamwa kwa zaidi ya mara milioni moja na laki tatu.

 

“Wimbo huu umeniletea mafaniko makubwa kuliko nyimbo zangu zote nilizoweza kufanya,” aliiambia XXL kupitia Clouds FM.

“Pia tayari nina studio yangu ambayo ndio kitendo kikubwa katika maisha yangu nilikuwa na kitaka kuna mchango pia wa kaka yangu katika hii studio nawaza pia kuja kuwa na wasanii wangu, producer atakuwa ni Nusder ambaye ameshafanya nyimbo nyingi,” aliongeza
Post a Comment
Powered by Blogger.