JB Anaacha Kuigiza, Unajua Atafanya Kazi Gani?

Nguli wa filamu za bongo Jacob Stephen (JB) ametangaza kuachana na kazi ya uigizaji na badala yake amesema atajikita zaidi kwenye  uandaji na uongozaji wa Filamu.
 Kwenye Video hii hapa chini utamsikia JB akifunguka yote kuanzia alipoanza uigizaji mpaka filamu yake ya mwisho atakayoiachia hivi karibuni.
Post a Comment
Powered by Blogger.