Gavana Wa Benki Kuu Tanzania Kayasema Haya Kuhusu Hali Ya Uchumi Nchini.

Moja kati ya vitu vinavyoendelea kuwa gumzo zaidi ni hali ya uchumi jinsi inavyoendelea, kumekua na makundi ya watu wenye mitazamo tofautitofauti juu ya hali hiyo, kila mmoja ukimuuliza atakupa jibu tofauti au sawa na lile ulilolisikia kwa uliyemuuliza mwanzo.
 Huyu Hapa Profesa Benno Ndulu ambae ni gavana wa Benki Kuu Ya Tanzania.(BOT) ameeleza halisi halihalisi ya uchumi nchini. 
Post a Comment
Powered by Blogger.