Chipukizi Mwenye Mpango Wa Kuibadilisha R&B Ya Bongo
Msanii machachari anaye chipukia katika game ya bongo kutoka katika label kubwa Tanzania ambayo pia inamiliki wasanii kama rosa_ree,seline pamoja na kundi la NAVY KENZO,wildad Agripa maarufu kama wildad aibuka na kusema kwamba yeye pekee ndo mwenye uwezo wa kuibadilisha style ya muziki ya r&b  Tanzania kwa sasa.


Msanii huyo ambaye alisaini label hiyo mwishoni mwa mwaka jana amedai kwamba anadhani kuna ulazima wa kubadilisha aina ya R&B ambayo inafanywa kwa sasa na baadhi ya wasanii wa hapa  bongo

“ mmmh sio kwamba mimi naweza sana kuliko wao hapana….! Ila kuna vitu flani ambavyo nadhani baadhi ya wasanii wengi hapa bongo wamekosa so kwangu nimeona kama ni opportunity ambayo inahitaji kuwa fixed. Hivyo Lengo ni nini …...lengo langu kubwa ni kutaka kuipaisha game ya R&B kimataifa zaidi kama ilivyo kwa styles nyengine kama afro pop,trap and others ,so nadhani mashabiki wakae tayari kwa hilo coz ninakuja kuwapa walichokosa miaka mingi”Alisema wildad

The industrytz kwa sasa inamili wasanii watano ambao ni pamoja na Wildad,Selin’Rosa_ree pamoja na kund la Navy kenzo linaloundwa na wasanii wawili ambao ni Aika pamoja na Nahreel.
Post a Comment
Powered by Blogger.