video & Audio | Diamond platnumz Ft Rayvanny _ Salome
Baada ya simba kutoka na kidogo kidogo na P square na leo ku post kwenye mtandao wa kijamii wa twitter kuwa anajisikia kama kuachia ngoma hatimaye kafanya kweli akiwa na Rayvanny.


Simba ameamua kunguruma kwa kutoa ngoma yenye mahadhi ya bukoba ambayo ni kava ya wimbo wa saida karoli akiwa na msanii wake kutoka lebo ya WCB Rayvanny msanii ambae amefanya vizuri pia kwenye soko lla muziki na kichupa cha Natafuta kiki ambapo baada ya hapo mashabiki wengi walikuwa akiwiza itakuwaje kama watafana kolabo ya pamoja hatimaye imetimia kwa kuachia wimbo unaoitwa salome ambao wameutoa kwenye maudhuhi mawili tofauti moja kwaajili ya club na mwingine kwaajili ya kiswazi (tradition)

Download nyimbo ya kwanza hapa
https://my.notjustok.com/track/download/id/131517
 Download nyimbo ya pili hapa:https://my.notjustok.com/track/download/id/131516
Post a Comment
Powered by Blogger.