Video | Asha Baraka Atoa Ya Moyoni Baada Ya Fella Kuzionyesha Nyumba Za Yamoto Band

Wikiendi iliyopita Meneja wa wasanii wanaounda kundi la "Yamoto Band" Said Fella maarufu kama Mkubwa Fella aliwaita waandishi wa habari na kuwaonyesha nyumba ambazo amewajengea vijana wake.
"Nimewaita hapa kuwaonyesha nyumba hizi nilizowajengea hawa vijana kama majibu kutokana na maswali mengi ninayoyapata mitaani kuhusu mafanikio ya vijana wangu" Alisema Mkubwa Fella.
 Sasa Baada ya Fella kuzionyesha nyumba hizo kwa Waandishi wa Habari Mkurugenzi wa kampuni ya ASET Mama Asha Baraka ametoa ya moyoni kufuatia kitendo hicho.


ANGALIA VIDEO HAPA CHINI. 

 

Post a Comment
Powered by Blogger.