Angelina Jolie Na Mume Wake Brad Pitt Huenda Wakafikia Uamuzi Huu Hivi Kribuni

Wanandoa maarufu zaidi wa Hollywood, Angelina Jolie na Brad Pitt, wanatarajiwa kutengana siku za hivi  karibuni.
Wakili wa Angelina Jolie, Robert Offer, amesema Jolie ndiye aliyeomba kupewa talaka.
 TMZ imesema Angelina  Jolie aliwasilisha nyaraka za kuomba talaka kortini Jumatatu, akitaja tofauti ambazo haziwezi kusuluhishwa.
Angelina Jolie ameomba kubaki na watoto wao sita.
Anjelina na Brad walifunga ndoa Agosti 2014, maiaka kumi baada yao kuanzisha
Watoto wao sita ni Maddox, Pax, Zahara, Shiloh, napacha Knox na Vivienne.


Alikiba Kuhusu Ushikaji Na Gavana Joh Hassan Wa Mombasa:

Post a Comment
Powered by Blogger.