Albamu Ya The Game Yasogezwa Mbele.Rapa The Game alitangaza kuiachia albamu yake “1992” ifikapo Octoba 7 mwaka huu  mashabiki wakiwa na mizuka ya kuingoja Oktoba 7 iwafikie The Game amebadilisha mawazo na kusema ataiachia albamu hiyo wiki moja baada ya oktoba saba yaani Oktoba 14 ndio mzigo utaingia sokoni.

Mbali na kutangaza mabadiliko hayo The Game ametoa orodha ya ngom zote zitakazopatikana kwenye albamu hiyo ikiwemo “True Colors/It’s On” ambayo ameiachia usiku wa jana.
Orodha imeonyesha ngoma kumi na mbili huku kukiwa na bonus track moja “All Eyez” aliyomsirikisha “Jeremih”

Orodha Ya Ngoma Zote Iko Hapa:
 

1. Savage Lifestyle
2. True Colors/It’s On
3. Bompton
4. Fuck Orange Juice
5. The Juice
6. Young Niggas
7. The Soundtrack
8. I Grew Up On Wu-Tang
9. However Do You Want It
10. Baby You
11. What Your Life Like
12. 92 Bars
 Bonus Track: All Eyez ft. Jeremih

Post a Comment
Powered by Blogger.