Albamu "Hard II Love" Ya Usher Raymond Kuachiwa Rasmi Ijumaa Hii

Usher Raymiond anatarajia kuingiza sokoni alabamu yake ya nane "Hard II Love" rasmi sikuya kesho Ijumaa, Septemba 16 baada ya kuiachia kwa watumiaji wa mtandao wa TIDAL siku ya jumanne.
 Albamu hiyo ina jumla ya ngoma 15 zikiwemo Crash, missin you na hitsong "No limit"
  "Hard II Love" iliyobeba jina ikiwa ni ya nne.
Cheki Mpangilio Kamili:
 Usher Raymond amekua akitangaza ujio wa albamu hii kwa zaidi ya miaka miwili sasa, miezi kadhaa iliyopita Usher aliwahi kukaliliwa akitangaza ujio wa albamu hii ambayo alisema ingeitwa "Flawed", lakini baadae akatangaza "Hard II Love" kama Jina Rasmi.
Post a Comment
Powered by Blogger.