Aaanzisha Soko Na Shule Yake Baada Ya Familia Kuwa Kubwa

Mzee Meshuko Ole Mapi, almaarufu Mzee Laibon, amelazimika kuwa na shule yake na soko lake mkoani Arusha  kwa ajili ya jamii yake hiyo na anasema bado ana azma ya kuendelea kuoa.

 Watu kutoka mataifa mbali mbali hufika kumtembelea mzee huyo kama sehemu ya utalii, soko hilo linaundwa na wanafamilia wa mzee Laibon,na si la kawaida kama yalivyo masoko mengine,kwa sababu bidhaa zinazouzwa hapo,wateja wake huwa watalii wanaoshangazwa na maajabu ya mzee Laiboni kuwa na watoto 70 na wajukuu 300,licha na kuwa na wake wachache.
 Shule ya mzee laiboni ambapo asilimia 90 ya wanafunzi ni watoto wake
Post a Comment
Powered by Blogger.