Skiza | Mzuka Preview Show Intro


Kipindi hiki kinaitwa MZUKA PREVIEW ni kipindi kinacho andaliwa na waandishi wa mzuka kibao media kipindi hiki tutakuwa tunakuletea kila siku ya ijumaa kupitia blog yetu hii  na zile website rafiki kama www.mzukakibao.blogspot.com, www.noreencrique.blogspot.com, www.hiplifehiphop.com, www.yaliyojiri.co.ke na www.seetheafrica.com pia tuna toa furusa kwa radio za mikoani zinazo penda kurusha kipindi hiki kuwasiliana nasi kwa no +254738854005

Post a Comment
Powered by Blogger.