Music | Stellina Mwenda - Give Me Tat Money


Wikiendi Iliyopita Kwenye bongoflava ya Clouds FM Mwanadada Stellina Mwenda aliitambulisha rasmi audio ya wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la Give Me That Money. Kwenye Give Me That Money Stellina anajaribu Kumchana mshikaji ambae anajipa vyeo kibao kwa mtoto wa k8ike halafu akiombwa kitu kidogo kama pesa anakosa point ya kujitetea. Fanya Kama Unaidownload kwa kubonyeza Hapo Chini

DOWNLOAD
Stellina Mwenda - Give Me That Money (Teaser)
Post a Comment
Powered by Blogger.