Itakukumbusha Deni Kubwa Hii Ya Rayvanny Alipotembelea Shule Aliyosoma. Ule msemo Nabii hakubaliki nyumbani design kama umetangeliwa hivi, 
Kwani mwishoni mwa wiki hii mwanamuziki Rayvanny kutoka Label WCB alipiga show pande Greencity Mbeya. Mji ambao ni asili yake (Nyumbani)
 Lakini haikua show peke yake Rayvanny pia alipata fursa ya kutembelea sehemu mbalimbali alizozitumia enzi za utoto wake.
 Video hii inamuonyesha akiwa shule ya  aliyosoma,
Shangwe alilopata Rayvanny kutoka kwa wanafunzi wa shule hii linanifanya  nifikirie kama jamii yangu inanidai niifanyie kitu.
 


 Kwa mfano huu nafananisha hilo sawa na deni ambalo lazima niilipe jamii yangu
Kama kijana lazima uitengeneze kesho yako vizuri uje kuheshimika kama mshikaji wetu Rayvanny alivyokubalika nyumbani kwao.
Malengo kwanza halafu vingine baadaye,
Tusomane Kwenye Story Nyingine Ya "The Icon" Jumamosi wiki ijayo, 


  SAMATA A - KODO (OFFICIAL MUSIC VIDEO) 
Post a Comment
Powered by Blogger.