Video | Jinsi Ya Kuwa Diamond Platnumz - Eric Omondi

Kama ilivyo kawaida yake mchekeshaji Eric Omondi kutokea code ya 254 (Kenya) kutoka na vichekesho mbalimbali vinavyogusa hali ya maisha ya kila siku ambayo binadamu anakutana nayo,
Eric Omondi pia anajulikana kwa umaarufu na umahiri wake wa kuzifanya remix video za mastaa wa Afrika amabazo zinafanya vizuri zikiwemo Utanipenda ya Diamond Platnumz na Aje ya Alikiba.
 Hii hapa Ni somo jinsi ya kuwa kama Diamond, ambalo Eric Omondi amelitoa katika mfumo wa vichekesho.
Eric  Amezitaja njia rahisi za kufuata ili uwe kama Diamond..
Utafurahi na hii Video yake Hapa Chini.

 

ANGALIA OFFICIAL VIDEO YA SAMATA A - KODO 

 

Post a Comment
Powered by Blogger.