Daraja La Kioo Lafunguliwa ChinaDaraja refu zaidi duniani ambalo sakafu yake ni kioo limefunguliwa katika mji wa Zhangjiajie katika mkoa wa Hunan nchini China.


Daraja hilo ndilo la juu zaidi lenye sakafu ya kioo duniani na linaunganisha milima miwili ambayo hufahamika kama Milima ya Avatar. Filamu ya Avatar iliandaliwa katika milima hiyo.


Bonyeza Hapa Kuangalia Picha Zaidi.

ANGALIA OFFICIAL VIDEO YA SAMATA A - KODO

Post a Comment
Powered by Blogger.