WEMA SEPETU AMTAKIA KHERI YA KUZALIWA MAMA DAIMOND.

Wema sepetu
July 7 2016 ni siku ambayo anazaliwa mama mzazi wa staa wa bongo fleva Diamond Platnumz ambapo pamoja na watu wengi kumtakia kila la kheri yupo pia mrembo Wema Sepetu ambaye kwenye akaunti yake ya Instagram amepost picha ya Mama yake Diamond akaisindikizia na maneno haya .. >>>’Happy Birthday mamy akee…. 

Post a Comment
Powered by Blogger.