Waziri Kairuki:Asema Watumishi Hewa Wachangia Ukosefu Wa Ajira Mpya Nchini Tanzania.
Licha ya tatizo la Watumishi hewa kumebainika kuwepo na tatizo lingine na utoro wa watumishi wengi sana Serikalini na vile vile akasema endapo Serikali itabaini kuwa maofisa utumishi hao wamehusika kwa namna moja au nyingine katika matatizo hayo ya watumishi hewa na utoro, wataondolewa mara moja.

Post a Comment
Powered by Blogger.