WATU 9 WAHOFIWA KUFA MAJI.Na Dorcas Safiel.

wilayani Songea mkoani Ruvuma  watu tisa wanahofiwa kufa maji baada ya boti waliyokuwa wakitumia kuvuka katika mto Ruvuma kuzama katika eneo la  mkenda mpakani mwa Tanzania na Msumbiji,
 Katibu tawala wa Ruvuma bw, Hassani Bendeyeko akipongeza jitihada za wananchi kufanikisha kuokoa watu 36 wakiwa hai na kwamba uzoefu unaonyesha kuwa watu waliokufa kwenye maji miili yao huwaza kuonekana baada ya siku tatu,
 Pia mkuu wa mkoa wa ruvuma dkt, Mahenge ameelekeza kuwa jitihada za kutafuta watu waliozama ziendelee na alisema kuwa watu wanahofiwa kufa maji ni watoto 8 na mama 1.
Post a Comment
Powered by Blogger.