WANAFUNZI 12 WA SHULE YA MSINGI WAPATA UJAUZITO.Mkuu wa Mkoa Dodoma Mh. Jordan Rugimbana atoa agizo kusakwa kwa wazazi wa wanafunzi 12 wa shule ya msingi wilayani Bahi baada ya watoto hao kupata ujauzito.

Aliyazungumza hayo baada ya kumwapisha mkuu wa wilaya kongwa Deogratus Ndejembi aliwataka wakuu wa wilaya kupambana na tatizo la njaa ambalo linachangia wanafunzi wa kike kupata ujauzito.

Aliongeza kuwa wilaya ya bahi ina wanafunzi 12 wa shule ya msingi ambao wana ujauzito na amewaagiza watendaji wa wilaya hiyo kuwatafuta wazazi wao kwani wazazi wanawajibika na malezi ya watoto wao na ndomaana ameagiza wasakwe.


Post a Comment
Powered by Blogger.