Wababe Wa Man United Wachezea Kichapo Toka Kwa Pep Guardiola.

Mchezo wa kirafiki kati ya Borussia Dortmund na Man City umemalizika kwa timu ya Man city kuibuka na ushindi wa penati 6-5 kutokana dakika 90 timu hizi zilikuwa zimefungana bao 1-0 hivyo mwamuzi alipoamua kuongeza dakika 20 nazo mshindi hakupatikana.

Dortmund kabla ya kukutana na vijana wa Pep Guardiola walikuwa wametoka kucheza mechi na mashetani wekundu timu Man United chini ya meneja mpya wa timu hiyo Jose Mourinho na vijana toka Ujerumani waliibuka na ushindi wa maagoli 4-1 hivyo mechi ya leo wababe wa Mourinho wameangukia pua toka kwa kocha wa Kihispanyol.

Post a Comment
Powered by Blogger.