Vyakula Vinavyoongeza Nguvu Za Kiume..Katika karne hii ya 21 tatizo kubwa kwa wanaume ni ukosaji wa nguvu za kiume na kushindwa kabisa kuwafurahisha wenza wao wanapokuwa pamoja katika tendo la ndoa..
lakini pia kuitwa mwanaume si jambo dogo ni jambo kubwa ambalo kila mtu hutamani kuitwa hivyo hasa yule mwenye tatizo la kukosa nguvu za kiume... mwanaume ni kama kiwanda ambacho lazima kizalishe na kama akishindwa inakuwa hasara kwa mwenza wake na kusababisha ata michepuko kuongezea (usaliti).
kupungua nguvu za kiume siyo ugonjwa, ni dalili ya ugonjwa hii ina maana kuna dosari au udhaifu wa kiutendaji ndani ya mwili wake.  Hivyo mwanaume anapopungua nguvu za kiume, ina maana kuna ugonjwa ndani ya mwili wake, au unaweza kuwa huo ugonjwa umeshatokeza kwa nje  au huo uko ndani ya mwili unamla na kummaliza kimyakimya kama yalivyo baadhi ya magonjwa ambapo baadaye hulipuka. Hii ndiyo maana kitaalamu tunasema  Unapopungua nguvu za kiume hiyo ni Kengele ya hatari kwamba ndani ya mwili wako kuna kitu hakifanyi kazi vyema.
Kuna viungo maalum vinavyohusika na nguvu za kiume ndani ya mwili ambapo viungo hivi pia hufanya kazi zingine za mwili. Baadhi ya viungo hivyo ni ubongo, moyo, mishipa ya neva mishipa ya ateri, mirija iliyo ndani ya uume iitwayo corpora cavernosa nk...
Nguvu za kiume ni jina la jumla lenye vipengele vingi ndani yake ikiwa ni pamoja na hamu ya mapenzi; kusimama kwa uume barabara; kuchelewa kufika kileleni kiasi cha kufurahia tendo la ndoa; uwezo wa kurudia tendo la ndoa; pumzi, wepesi na uchangamfu wa mwili katika kutenda tendo la lenyewe. 


SABABU ZA KUKOSA NGUVU ZA KIUME.MATIBABU YA KUONGEZA NGUVU ZA KIUME...

Vyakula ni bora sana kuliko kutumia madawa ambayo yanaweza kuongeza maradhi mengine katika miili yetu na kukawa hamna tiba zaidi ya kuongeza uogonjwa fulani katika mwili......jitahidi ata kufanya mazoezi mengi ili kufanya mwili wako uweze kuwa vizuri

1. Blueberry\Zabibu


Blueberry ni matunda yanayosaidia sana kuongeza nguvu za kiume, wengi hupendelea kuyaita ‘viagra’ asilia kutokana na kazi inayoifanya mwilini. Blueberries ina virutubishi vinavyoimarisha mishipa ya damu na kusaidia mzunguko mzuri wa damu mwilini. Damu ndio kila kitu katika nguvu za kiume. Vilevile, blueberries zina nyuzinyuzi (fiber) ambazo husaidia kuondoa kolesteroli (Cholestrol) mwilini kabla hazijanganda kwenye mishipa ya damu. Kuwa na mzunguko mzuri wa damu husaidia mwanaume aweze kuhimiri mapenzi wa muda mrefu zaidi.

4. Karanga

 
Karanga ni chanzo kikubwa cha kujenga protini mwilini. Karanga huwa na kiwango kikubwa cha amino asidi ambayo husaidia kuweka vizuri mfumo wa damu, hivyo kusababisha kuongezeka kwa kiwango cha ufanyaji mapenzi.

5. Vitunguu saumu


Kitunguu saumu kina allicin, kiambato kinachosaidia mzunguko mzuri wa damu kwenye viungo vya uzazi. Kuwa na mzunguko mzuri wa damu kwenye uume ni sababu kubwa ya kuongeza stamina ya kufanya mapenzi.

6. Ndizi


Kuwa na stamina ni muhimu katika ufanyaji mapenzi. Ndizi ni chanzo kikubwa cha vitamin B ambayo husaidia sana katika kuongeza stamina na nguvu mwilini hasa wakati wa kufanya kazi nzito. Ndizi ina kimeng’enyo cha Bromelain ambacho huongeza nguvu za kiume, ashki ya mapenzi (libido).

7. Chocolate


Chocolate inasaidia kuongeza stamina kwenye kufanya mapenzi kwasababu ina viambato vya phenylethylamine na alkaloid. Phenylethylamine ni kiambato kinachopelekea kujisikia vizuri, hasa wakati wa kufanya mapenzi na alkaloid huongeza stamina na nguvu wakati wa mapenzi.

Ni vyema kula kiasi kabla ya kuingia katika tendo la ndoa hasa wakati wa usiku au kabla ya kwenda kulala kuvumbiwa sana hufanya mwili kufanya kazi ya ziada kumeng'enya hivyo kuingiwa na uchovu na kupungua umahiri wa kufanya mapenzi.
Post a Comment
Powered by Blogger.