Baada ya maneno mengi kusemwa sana kwamba kwa sasa Msanii Diamond Platnumz anamchepuko mpya (Hamisa Mobeto) na kwamba yeye na mzazi mwenzie Zari Hassan ‘The Bosslady’ wahapendani kama ilivyokua zamani wakaamua kuonyesha walimwengu kwamba wapo pamoja na mapenzi yao yanazidi kushamiri.


Tazama video inayoonyesha dalili za ujauzito mwingine hapa:-