Kijana aliyejitambulisha kwa jina la Adamu Akida amedai kuwa anashikiliwa nchini Pakistan baada ya mwenzake aliyesema anaitwa Juma kumuweka rehani ili kuweza kuchukua dawa za kulevya.
Amedai kuwa Juma aliondoka na hajarejesha fedha za watu na hivyo yeye bado ameshikiliwa nakumtaka Juma alipe fedha hizo ili aweze kuachiwa. Tazama video hapa chini.