Video | Msanii Harmonize aachia ngoma mpya..

Msanii mwenye nyota inayong`aa kwa kasi anaetokea lebo ya WCB na ambae baadae inasemekana atakuja kukimbizana na simba wa Music Tanzania (Diamond Platnumz)  ameachia achia kichupa chake kipya kinachoenda kwa jina la MATATIZO, msanii huyo si mwingine bali ni Harmonize.
Cheki video hii hapa...


Post a Comment
Powered by Blogger.