Usipitwe na hii Shilole akifundishwa kiingereza

Baada ya muda mrefu shilole kushindwa kutema yai (kuongea kiingereza) hatimaye apata mwalimu kwaajili ya mafunzo ya kuongea lugha hiyo ya kiingereza ambayo imekuwa bado msumari wa moto kwake katika kuzungumza.

Post a Comment
Powered by Blogger.