UJIO WA WAZIRI WA INDIA NEEMA KWA TANZANIA.  Ujio wa Waziri Mkuu wa India, Narendra Modi nchini umekuwa wa mafanikio baada ya Serikali ya India kusaini makubaliano sita ya kuisaidia Tanzania katika sekta za elimu, afya, maji, viwanda, biashara na kilimo.
Akiwa ikulu waziri Narendra Modi jijini Dar-es-salaam alifanya mazungumzo na mwenyeji wake rais John Pombe Magufuri pia alishuhudia utiaji wake saini wa hati sita za makubaliano aliofanya kati ya serikali yake na Tanzania.
katika makubaliano hayo india imetoa dola 500 millioni za marekani sawa na sh.1.1 trilion kwa ajili ya utekelezaji wa vipaumbele vya serikali ambavyo ni elimu,afya,viwanda,maji,biashara na kilimo.
Post a Comment
Powered by Blogger.