TRENI MBILI ZAGONGANA NA KUSABABISHA VIFO ZAIDI 27 VYA WATU


Waziri Mkuu wa Italia Matteo Renz,ametembelea eneo ambako treni mbili za abiria zimegongana uso kwa uso na kusababisha vifo vya watu zaidi ya 27 na wengine wamejeruhiwa baadhi yao hali zao ni mbaya.

Post a Comment
Powered by Blogger.