Usiku wa kuamkia leo, moto mkubwa umezuka na kuteketeza soko la Musoma Mjini ambapo thamani ya mali zilizoharibika na chanzo cha moto huo bado hazijafahamika.