TAZAMA PICHA 5:YALIVYOMKUTA MHUBIRI WA INJILI ALIYEJARIBU KUTEMBEA HEWANI.
2CF8A1F900000578-3256188-Controversial_prophet_Shepherd_Bushiri-m-6_1443732330710
Baada ya watu kumpinga kwa muda, mhubiri huyu aliwaalika watu wakiwa na kamera nyumbani kwake kuonyesha kuwa anaweza kutembea hewani. Video hiyo inamuonyesha mhubiri huyo akinyanyua mikono yake juu huku akiteremka kwenye ngazi za nyumbani kwake.
2CF8E35800000578-3256188-Back_on_solid_ground-a-101_1443702273886
Alipokuwa akiendelea na tukio la kurekodiwa wakati anaendelea kufanya kama anapaa, kamera moja iliondolewa ili kutomchukua mtu aliyekuwa akimsaidia aonekane kama anaelea. Lakini kamera hiyo iliweza kuchukua kivuli cha mtu huyo wakati mhubiri huyo alipojifanya ametua ardhini. Hii ilisababisha mhubiri huyo kuanguka alipokuwa akijaribu kutembea hewani.
2CF8A1F300000578-3256188-He_has_done_little_to_improve_his_credibility_with_this_clip-a-100_1443702250139
Mhubiri huyo alinukuliwa akisema kuwa, wameona wachawi wakifanya mambo ya maajabu, na kuhoji wao kama wana wa Mungu kwanini hawawezi kutenda kama wachawi na hata zaidi yao.
2CF8A21100000578-3256188-He_claims_this_footage_is_proof_he_can_walk_on_air_-m-4_1443732315841
Alisema kuwa yeye ni mteule wa Mungu na anaonyesha yale Mungu aliyomuwezesha kuyafanya. Aidha, aliendelea kusema kuwa anamuomba Mungu atende hata zaidi ya anavyomuwezesha kutenda sasa.
Post a Comment
Powered by Blogger.