TASWIRA:Theluji Yapatikana Pembezoni Mwa Barabara Wilayani Rungwe.

Ni nadra sana kuona theluji ikiwa hivi Tanzania kwani mara nyingi tumezoea kuona hali hii katika nchi za Ulaya kwa sababu ya uwepo wa baridi kali.
Picha hii imepigwa kutoka katika wilaya ya Rungwe iliyopo mkoani Mbeya amapo theluji ilikuwa pembezoni mwa barabara jana Julai 19, 2016. Hii inaonyesha uwepo wa baridi kali katika eneo hilo. IMG_20160720_071054
Miongoni mwa mchi zenye baridi sana barani Ulaya ambao kwao kuona barafu hivi ni jambo la kawaidia ni pamoja na Finland na nchi zilizopo katika ya Sweden na Russia.
Post a Comment
Powered by Blogger.