TASWIRA 6:Watu 3,000 Wakiwa Utupu Katika Sherehe Za Utamaduni Uingereza.

Raia wa Uingereza kutoka katika maeneo tofauti tofauti wakiwa utupu huku wamejipaka rangi ya bluu katika sherehe za utamadau ambazo huwa zinafanyika.
Zaidi ya watu 3000 wameshiriki katika tukio hilo ambapo mamlaka katika mji wa Hull imeeleza kuwa hili ni tukio lililokuwa na watu wengi sana na laina yake kuwahi kutokea Uingereza._90339096_hi033975043 Washiriki walikuwa maeneo mbalimbali ya mji huo katika zoezi la upigaji picha ambalo lilidumu kwa muda wa saa nne huku waliojitokeza wakiwa ni watu wa rika tofauti tofauti._90339098_hi033975044 Baadhi ya washiriki waliohojiwa walisema walifurahi sana kushiriki kwenye tukio hilo kubwa la kisanaa na kusema linawaweka karibu watu wa rika zote._90339436_alfredguilder _90339442_queensgardens o
Picha: BBC
Post a Comment
Powered by Blogger.