KRC Genk imeshinda kwa mabao 7-1 katika mechi ya kirafiki dhidi ya Termien ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya msimu mpya. Nahodha wa timu ya Tanzania, Taifa Stars, Mbwana Samatta anayeichezea timu hiyo, licha ya kwamba hakufunga hata bao moja lakini alikuwa kati ya wale waliotoa mchango mkubwa kwenye ushindi huo. KIKOSI KILICHOANZA; Köteles, Matarrese, Walsh, Karelis, Kumordzi, Vanzeir, Delorge, Pozuelo, Buyens, Samatta en Tshimanga. WALIOFUNGA MABAO: 07' : 1 - 0 : de Camargo 08' : 2 - 0 : Dewaest 15' : 3 - 0 : Kebano 23' : 4 - 0 : Sabak 36' : 4 - 1 : Baur 46' : 5 - 1 : Van Zeir 49' : 6 - 1 : Karelis 76' : 7 - 1 : Pozuelo