Shilole Aamua Kurudi Darasani


Mwanamuziki wa bongo fleva shilole aamua kurudi darasani ii kuongeza heshima yake na ya muziki  hususani pale unapofikia wakati wa kukutana na wasanii wengine wakubwa

‘Ni kweli nataka nirudi darasani nisome lugha ya kingereza kwani ni lugha ambayo imekuwa ikinipa changamoto nyingi mno, kwa sasa ndo niko kwenye mchakato kwani unajua mwisho wa siku sitaki niaibike pale nitakapokutana na wakina Beyonce kwahiyo hii ni heshima kubwa kwenye muziki wetu wa Bongo Fleva’- Shilole
Post a Comment
Powered by Blogger.