Serikali Yawataka Waganga Wa Tiba Asili Kutii Miongozo Hii.
 Mkurugenzi wa Baraza la Waganga  na Watafiti Tiba asili Tanzania ( BAWATA) Manispaa ya Kinondoni Tabibu  Maximilian  Lyana,akizungumza na waandishi wa habari (hawapo) ofisini kwake iliyopo Tandale,Dar es Salaam,leo kuhusu kuwashauri waganga wa tiba asili kutii miongozo ya serikali na kuacha kukinzana nayo bali wafuate sheria walizowekewa ili wafanye kazi zao bila mikwaruzano.Post a Comment
Powered by Blogger.