SERIKALI YAAGIZA HALMASHAURI KUKABIDHI MADAWATI.Na Dorcas Safiel.
 
SERIKALI imeagiza halmashauri zote nchini kukabidhi mara moja kwa uongozi wa shule madawati yaliyokwishatengenezwa badala ya kuendelea kubaki mahali yalipotengenezwa.
Kauli hiyo ilitolewa mwishoni mwa wiki na Naibu Waziri, Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Selemani Jaffo wakati wa hafla ya kukabidhi madawati 25 yalitolewa na wanafunzi wa Kitivo cha Afya cha Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM).
WAZIRI wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo ameitaka Bodi ya Wakurugenzi na Menejimenti ya Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) kuhakikisha kunakuwa na umeme wa uhakika nchi nzima pamoja na kupima utendaji kazi wa mameneja wa shirika hilo wa ngazi ya wilaya, mkoa na kanda.
Post a Comment
Powered by Blogger.