PICHA 7:China Yatengeneza Ndege Kubwa Ambayo Haijawahi Kutokea Na Ina Uwezo Wa Kutua Kwenye Maji.

China imetengeneza ndege kubwa zaidi duniani ambayo ina uwezo wa kupaa na uwanja wa ndege au kutua kwenye maji.
Aina ya ndege hiyo ni AVIC C919 (amphibious aircraft) yenye uwezo wa kubeba hadi watu 168. Imetengenezwa kwa takribani miaka 7 na ilimalizika kutengenezwa Novemba 2015 na inatarajiwa kuanza safari rasmi mwishoni mwa 2016 au mwanzoni mwa mwaka 2017.
Nusu ni boti na nusu nyingine ni ndege, inaweza kubeba mzigo wa tani 53 na pia kubeba tani za maji 12, kwa kutumia sekunde 20 pekee. .
Waandisi wa Kichina wanasema kuwa ndege hiyo itatumika kupambana na moto wa misituni na kwa huduma za baharini, ukoaji n.k
The craft can take off with a maximum weight of 53.5 tonnes. © CCTV News
chin
Post a Comment
Powered by Blogger.