PICHA 5:MAZOEZI YA JOSE MOURINHO NDANI YA MAN UNITED KWA MARA YA KWANZA.
Meneja mya wa
kikosi cha Manchester United, Mreno Jose Mourinho leo amekifundisha
kikosi cha Man Unted kwa mara ya kwanza tangu alipochukua kibarua hicho.
Mourinho wakati akitambulishwa na klabu ya Man United mapema mwezi huu aliahidi kurejesha heshima ya klabu hiyo ambayo ilikuwa ikitamba kwa kunyakuwa makombe kabla ya kuondoka kwa Sir Alex Ferguson.
Hapa chini ni picha za Jose Mourinho akiwa mazoezi na kikosi cha Man United mapema leo