PICHA 4:SIMBA IKIMTAMBULISHA KOCHA MPYA LEO.


Klabu ya Soka ya Simba yenye makazi yake jijini Dar es Salaam leo imemtambulisha Joseph Omog kutoka Cameroon kuwa ndiye kocha mkuu wa klabu hiyo kuanzia leo Julai Mosi.img_0077 Omog amekabidhiwa mikoba hiyo baada ya klabu hiyo kukaa kwa muda mrefu bila kuwa na kocha mkuu na kuwa kikosi hicho kilikuwa kikinolewa na Jackson Mayanja ambaye ni kocha msaidizi.img_0078

Post a Comment
Powered by Blogger.