Pamoja Na Kuwa Na Umri Mkubwa Lionel Richie Bado Ana Ndoto Hizi.

Mwanamuziki Lionel Ritchie Mwenye Umri wa miaka 67 anasema bado ana mpango wa kuwa na watoto wengi zaidi licha ya kuwa na umri huo, Mapema mwaka huu alikiri kusema kuwa na watoto wengi ni kitu ambacho kitakuja kumuua alicheka na kusema watoto wake...
Mwanamuziki Lionel Ritchie Mwenye Umri wa miaka 67 anasema bado ana mpango wa kuwa na watoto wengi zaidi licha ya kuwa na umri huo, Mapema mwaka huu alikiri kusema kuwa na watoto wengi ni kitu ambacho kitakuja kumuua alicheka na kusema watoto wake watatu alionao wanamtosha lakini inaonekana Lionel Richie has had a change of heart, Mwanamuziki huyo ambae kionjo chake cha all night long kimetumika kwenye wimbo mpya wa Diamond Platnumz feat P Square “ kidogo ’ amesema yeye na girlfriend wake wa miaka 4 Lisa Parigi wana mpango wa kuongeza watoto, Lisa ni former Model mwenye asili ya swiss chinese ambae bado yuko kwenye her early thirties, Msichana huyo mrembo alisema anapenda kusafiri kwenye tour za muziki za Mpenzi wake huyo na hufurahia wakiwa Pamoja na anasema anampenda na wana furaha kwenye relationship yao .
Post a Comment
Powered by Blogger.