Video | Peter Akiwaomba Msamaha Mashabiki Wa Kundi La Psquare

 Wanamuziki mapacha wa Nigeria Peter na Paul Okoye wanaounda kundi la P'Square wamekua wakitajwa kuwa na beef ya chini kwa chini iliyopelekea kuwatenganisha kimuziki.
 P'Square walitajwa kuwepo na tofauti kwa miezi kadhaa  tofauti zilizopelekea kuliua kundi hilo na kuanza kufanya kazi zao kama solo artists.
  Mapema leo Paul Okoye maarufu kwa jina la "RudeBoyPsquare" ameshare picha mtandaoni ikiwaonyesha mapacha hao wakiwa pamoja Huku akiipa Captio

"Family is everything 😎👍"

Hii ni tafsiri kama beef  imeisha kwani mapema siku ya jumatatu Peter aliweka video yake kwenye instagram akiwaomba msamaha mashabiki  wa Psquare kwa tofauti zote zilizokua zimejitokeza na kuanzia sasa beef hakuna kama unavyoona hapa chini.

Post a Comment
Powered by Blogger.