NEW MUSIC | Lang katalang - Ka Zote (Prod By Symo On The Beat)

     Baada ya kushirikisha Chege Chigunda na Kim Dalin kwa nyimbo "NATAKA KUWA NAWE"  iliyo fanywa chini ya ya producer Mtanzania Tonny Touch ndani ya Kegamol Records mwaka jana, Msanii kutoka Kenya anaye chana mtindo wa Luo Flow Rap ameachia ujio wake mpya kwa jina Ka Zote, Ka Zote imefanywa Alka Production chini ya Producer Cymo On The beat.
                                                         pakua sambaza


Post a Comment
Powered by Blogger.