New Music | Darasa - Too Much

Baada ya kufanya vizuri na ngoma Kama utanipenda aliyomshirikisha Rich Mavoko mkali wa Darasa amerudi tena na hiki Kichupa chake kipya kinaitwa too much. Kiangalie Halafu Tiririsha comments zako hapa.




 DOWNLOAD
Post a Comment
Powered by Blogger.