Mohamed Dewji ''MO'' Atangaza Rasmi kuichukua Simba.Tayari Mo amesema yuko tayari kutoa Sh bilioni 20 ili kununua hisa asilimia 51 na kuwekeza ndani ya Simba."Kama unataka mafanikio kwenye mpira, hakuna zaidi ya fedha. Simba haiwezi kuwa na miaka 80 leo haina hata uwanja wa mazoezi."Baada ya kuwa umewekeza, baada ya hapo unaanza kuangalia njia za kufanya ili kuongeza mapato. Usajili, uwanja na mambo mengine yanahitaji fedha," alisema."Unajua kama nikiwekeza fedha hizo, tunaweza kuzipeleka kwenye mkopo na kuikopesha serikali. Baada ya hapo tutapata faida ya dola bilioni 7.5 ambazo tutaziingiza kwenye maendeleo.
Post a Comment
Powered by Blogger.