blogger-disqus-facebook
  • Home
  • About
  • Contact Us
  • Advertise

SeeTheAfricanLink

    • HABARI
    • BIASHARA
    • BURUDANI
    • MUSIC
    • MICHEZO
    • FASHION
    • TEKNOLOJIA
    Home / Kitaifa / Marufuku Ya Vilainishi Vinavyotumiwa Na Wapenzi Wa Jinsia Moja Yazua Mjadala Nchini Tanzania.

    Marufuku Ya Vilainishi Vinavyotumiwa Na Wapenzi Wa Jinsia Moja Yazua Mjadala Nchini Tanzania.

    Alex Sonna Friday, July 22, 2016 0

    Mjadala mkali umeendelea nchini  Kufuatia waziri wa afya  kupiga marufuku utumiaji na usambazaji wa vilainishi vinavyotumiwa na wapenzi wa jinsia moja.
    Waziri Ummy Mwalimu hapo juzi alitanganza kupiga marufuku vilainishi hivyo kwa madai kwamba vimekuwa vikitumiwa vibaya na wapenzi wa jinsia moja na hivyo kusababisha kuenea kwa maambukizi ya virusi vya Ukimwi.
    Hata hivyo muda mfupi baada ya marufuku hiyo wananchi  walikuwa na maoni tofauti.
    Mjadala huu uliibuka siku chache baada ya kauli ya hiyo ya waziri wa Afya wa Tanzania Ummy Mwalimu alipozungumza na waandishi wa habari kuthibitisha kuzuiwa usambazaji wa vilainishi hivyo akidai kuwa inatumika kwa namna ambayo sio sahihi.
    Wananchi wa nchi hiyo wengi wanataka suala hilo kujadiliwa kwa upana na serikali ifahamu wapi penye tatizo ili liweze kutatuliwa.
    Vilainishi hivi vinavyotajwa kuwa chanzo cha maambukizi ya virusi vya Ukimwi kwa kuhusishwa zaidi na watu wa mapenzi ya jinsia moja.
    Hata hivyo,Wataalam wa masuala ya afya wanathibitisha kuwa yapo matumizi mengi yatokanayo na vilainishi hivi iwapo vitatumika ipasavyo.

    Tags:
    Kitaifa

    Kitaifa

    Post a Comment
    Subscribe to: Post Comments ( Atom )

    SEETHEAFRICAN TV

    SIKILIZA RADIO ZABONGO HAPA

    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.oledoinyo.onlineradio&hl=en

    Facebook

    Zilizosomwa Zaidi

    • Zijue Siku Za Hatari Na Salama Za Mwanamke Wakati Wa Mzunguko Wa Hedhi.
      MZUNGUKO WA HEDHI. Katika mizunguko yangu ya kutoa ushauri wa afya kwenye mahusiano nimekutana na watu wengi ambao n...
    • Haya Ndo Majina Ya Wachezaji Wa Yanga Yaliyotumwa CAF.
      Haya Ndo Majina Ya Wachezaji Wa Yanga Yaliyotumwa CAF.
      Yanga. Yanga iko tayari kwa ajili ya mechi za Kombe la Shirikisho baada ya kutuma majina ya wachezaji wanne. Hassan Ke...
    • MAMBO 8 USIYOYAJUA KUHUSU MKUU WA MKOA DAR ES SALAAM.
      MAMBO 8 USIYOYAJUA KUHUSU MKUU WA MKOA DAR ES SALAAM.
      Mkuu wa mkoa Dar es salaam Paul Makonda. Na. Dorcas Safiel, Alex Sonna . Hii ni historia ya muheshimiwa paul makonda mkuu wa mkoa jiji...
    • Fahamu Jinsi Ya Kuzuia Mimba Baada Ya Tendo La Ndoa
      Fahamu Jinsi Ya Kuzuia Mimba Baada Ya Tendo La Ndoa
      Leo tutakua tukiongelea jinsi ya kuzuia ujauzito kama njia ya uzazi wa mpango kwa mwanamke aliyetembea na mwanaume na kua na wasiwas...
    • Leo Ni Leo Bila Benzema Ufaransa Kufungua Pazia La EURO 2016.
      Leo Ni Leo Bila Benzema Ufaransa Kufungua Pazia La EURO 2016.
      Mashindano ya mataifa ya ulaya maarufu kama Euro, yanaanza kutimu vumbi leo huko nchini Ufaransa.  Wenyeji wa michuano hii Ufara...

    ZILIZOPITA

    SIKILIZA RADIO ZABONGO HAPA

    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.oledoinyo.onlineradio&hl=en

  • Custom Widget

    3/Business/post-per-tag

    Recent in Sports

    3/Sports/post-per-tag

    Popular Posts

    • Zijue Siku Za Hatari Na Salama Za Mwanamke Wakati Wa Mzunguko Wa Hedhi.
      Zijue Siku Za Hatari Na Salama Za Mwanamke Wakati Wa Mzunguko Wa Hedhi.
      MZUNGUKO WA HEDHI. Katika mizunguko yangu ya kutoa ushauri wa afya kwenye mahusiano nimekutana na watu wengi ambao n...
    • Haya Ndo Majina Ya Wachezaji Wa Yanga Yaliyotumwa CAF.
      Haya Ndo Majina Ya Wachezaji Wa Yanga Yaliyotumwa CAF.
      Yanga. Yanga iko tayari kwa ajili ya mechi za Kombe la Shirikisho baada ya kutuma majina ya wachezaji wanne. Hassan Ke...
    • MAMBO 8 USIYOYAJUA KUHUSU MKUU WA MKOA DAR ES SALAAM.
      MAMBO 8 USIYOYAJUA KUHUSU MKUU WA MKOA DAR ES SALAAM.
      Mkuu wa mkoa Dar es salaam Paul Makonda. Na. Dorcas Safiel, Alex Sonna . Hii ni historia ya muheshimiwa paul makonda mkuu wa mkoa jiji...
    Created By SoraTemplates | Distributed By Blogspot Templates
    Powered by Blogger.