MAMBO SITA MUHIMU KATIKA NDOANdoa ni makubaliano ya watu wawili kati ya mwanamke na mwanaume ambao wako tayari kuacha familia zao na kuanzisha yao kama wandani kwa kushirikiana katika mambo yote kwa shida na raha hadi kifo kinapo watenganisha. 
Furaha ya ndoa ni kumpata yule umpendaye na ambaye ni chaguo la moyo wako na tulizo la mwili wako lakini pia furaha ya ndoa ni kufuatisha  mambo 6 ya muhimu zaidi yatakayo zidisha furaha hiyo ndani ya nyumba yako.

Post a Comment
Powered by Blogger.