Kylie Jenner Hautaki Ustaa, Soma Mahojiano yake na Allure Magazine

Kylie Jenner


 Kylie Jenner ni moja kati ya mastaa wenye majina makubwa duniani na mwenye umri mdogo, 
 Kylie hayupo kabisa kwa ajili ya kuwa staa maisha yake yote. Mrembo huyoamepata fursa ya kuonekana kwenye kava ya Jarida la Allure Magazine tolea la mwezi ujao (August). Ndani ya jarida hilo pia Kylie amefunguka mengi kuhusu maisha ya umaarufu. 
Upigaji picha wa kwenye jarida la Allure Magazine.


 "Najua kama sihitaji kuwa staa siku zote, Kuna muda utafika ambapo nitajisikia nipo sehemu ambayo ni nzuri kimaisha na nitaachana na maisha ya ustaa mara moja" amesema Kylie.
Kylie mwenye umri wa miaka kumi na nane ameishukuru familia yake "TheKardashian" kutokana na malezi wanayompatia kwani umaarufu alionao ni mkubwa kulinganisha na umri wake vinginevyo angeshapotea. 
"Gari mpya,, nyumba ,hela nyingi haviwezi kukamilisha furaha" Kylie anasema furaha kamili inaletwa na marafiki wa dhati ambapo yeye rafiki zake ni family yake.

The Kardashian.


 "Tangu nimekua kwenye #KeepingUpWithTheKardashians nimekua nikonyesha maisha yangu kwa kiasi fulani hivyo watu wananijua kwa uelewa wao watu wengi wameweza kunijua mimi ni mtu wa aina gani kupitia show iyo"Kylie asiyeishiwa vituko kunako kiwandani cha burudani nchini marekani ameshare picha zake kali akizunguka na magari makali na majumba ya kifahari ya kifahari 
"Yule sio mimi. Ni picha za kazi. Biashra ile, sijabadilika chochote"
              
"Kihalisia sionyeshi uhalisia wangu , kwasababu ukijiweka sana wazi mambo yako utawapa wengine nafasi ya kukujua zaidi na kusema chochote kuhusu wewe.

Ilikupita Hii Video Ya Diamond Platnumz X P'square - Kidogo. Bonyeza Hapa Kuiangalia.
 

Post a Comment
Powered by Blogger.