Kumekua na tetesi za msanii Diamond Platnumz kuwa na mahusiano ya kimapenzi na Hamisa Mobeto ambaye ni mwanamitindo wa hapa mjini, ambazo zilizokuwa hazijakanwa wala kukubaliwa na wawili hao mpaka Hamisa alipoamua kupost kwenye ukurasa wake wa Instagram sababu ya yeye kuwa karibu na Familia ya mwanamuziki huyo na kumtaja Diamond kama Boss wake na kuweka caption #HapaKaziTu
Vile vile picha zingine ziliendelea kuwekwa na mashabiki wengine na maswali yakaendelea kujaa vichwani mwa mashabiki zao.
Hammy
kiki